Right now uko kwenye simu au kompyuta, ukiangalia jinsi wengine wanavyopata wateja na kuuza bila hata kutoka nyumbani. Unawaona wakipokea malipo, wakitangaza bidhaa zao, na wakipata wateja wapya kupitia biashara mtandaoni kila siku. Wakati huo huo, bidhaa zako, huduma zako au hata mawazo yako yapo tu. Hayatambuliki. Hayana jina la kipekee. Hayana tovuti inayoweza kukuweka …
Continue reading “Anza Biashara Mtandaoni Hivi Sasa, Badilisha Maisha Yako Milele”