Kama una biashara, shirika, au unataka kujijengea jina mtandaoni, web design ndiyo hatua ya kwanza ya kuhakikisha unavutia wateja na unajitofautisha na washindani. Nchini Tanzania, zaidi ya milioni 34 ya watu wanafikia intaneti kila mwezi, wengi wao kupitia simu janja. Tovuti yako mara nyingi ndiyo picha ya kwanza ambayo wateja wako watapata kuhusu biashara yako. …
Continue reading “What is Web Design? Mwongozo Kamili Kwa Tanzania”