Hivi sasa, biashara nyingi Tanzania zinaona changamoto kubwa ya kupungua kwa mauzo. Mauzo yamepungua, wateja waliokuwa wakipata huduma zako sasa ni wachache? Hali hii ni ya kuumiza sana. Hebu tukubali, tatizo halipo bidhaa zako kila wakati. Wakati mwingine, ni namna ya kuwafikia wateja. Website ni suluhisho ambalo linaweza kubadilisha mwelekeo wa biashara haraka, hii ni …
Continue reading “Jinsi Website Inavyoweza Kufufua Mauzo Yako Ndani ya Siku 30”